Selfika na JF: Snap it. Show it

Mjep kashikika kakamatika hasikii wala haoni cocastic anakazi ya kuifinyia kwa ndani tu hata vocha haziwekwi tena jukwaani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kakutanaaa na maufundi ya kingoni. Yaan anabaki kugumia km tractor lilokwama kwa majaruba ya mpunga.

Chezeaaaa weyeeeee watu na maujuzi yetu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulale sasa

Kesho ukiamka

Uanze na zilee thithii Babu la mchongo

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…