Selfika na JF: Snap it. Show it

Babuu mwambie last born asogeze kamera kuliaaa😎!!

Dogo yuko vizure ana misuli balaaa!!✌️✌️✌️✌️!
Mwambie mjukuu namsamilia sanaaa!!
Helloowww babuuu βœ‹
Salamu zimefika Mjukuu πŸ€—

Nimeona niwaoneshe last born wangu ili Vijana wapunguze wasiwasi kwa Babu yenu πŸ€—
 
AmeoaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚huo mkono sipat picha umekushika πŸ˜‚nimekuwa mwehu sana sikuhiz itakuwa madam kanirithishaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahaha...............Vijana mna enjoy Sana maisha, imagine hiyo kushikwa umewekwa kwenye angle ya kitanda then aliyekushika ni shababi wa hivyo. Unaweza Kuta hadi majirani wanaamka kuhisi mnapigana ndani πŸ™ˆπŸ€ΈπŸ€Έ

Sisi enzi zetu ni style ya kumuua mende tu hadi tumezeeka hivi πŸ™ˆπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Umechachuka vibayaaa babuuuu hufaiiiii wewee πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!
 
πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…