Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,021
- 177,335
Vipaji kama vipaji 🤣🤣🤣🤣🤣 Selfika mko vizureeee😁😁!!Asante kwa uongozi unaoacha alama wa vipaji🤣🤣🤣
Thubutuuuu...na ukubwa wote huu khaa weehhh!! Najioshaa mwenyewe tena natakata vizuri tyu😁Usijioshe acha walimwengu wakuoshe..
Barikiwa
Morning babegirl!! kumekucha hukooo??Morning Beautiful
Salama tu huku dear vipi nyie huko ?Morning babegirl!! kumekucha hukooo??
Huku njema sana kipenzi!Salama tu huku dear vipi nyie huko ?
Ahsanteeeeeeee!!!
Babuuu ndo hii uliniagiziaaa? Nlisema nataka JEEP mie.Hiyooo inasubiri kikokotooView attachment 2474613




, nweiiiii gari nzuri na rangi kapatia, iko vyediiiiNina blogu yangu inaitwaWigee Uandishi wa habari wa kujitegemea unautendea kazi ipasavyooo!!![]()
Hakii hio pepper ni nyookonanusu🤣🤣🤣😁😁! Inaharibuuu kila kitu!!Nina blogu yangu inaitwa
Pepper Newspaper
Mtajua hamjui
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Habari
Nzuri.. mzima wewe mdadaHabari
salama na weweNzuri.. mzima wewe mdada
Mii niko poa.. vp jiji la joto hukosalama na wewe