ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,640
- 127,326
Madam Antonnia unamuona huyu?š¤£š¤£, yaani Wige wewe mgomvi sanaKiutu uzima yenu nimeielewa
Sio kama Jana usiku[emoji1787]
Mlijiachia hatari
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Madam Antonnia unamuona huyu?š¤£š¤£, yaani Wige wewe mgomvi sanaKiutu uzima yenu nimeielewa
Sio kama Jana usiku[emoji1787]
Mlijiachia hatari
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
SelfikaHujaoga????[emoji848]
Zinanigomea atii nikiweka zinapotelea wapi sijui. Nahisi kuna shida...
Mi Niko vizuri pia sis Kitambo sanaa sijakuona humuuu!! Nibariki Jioni yangu iende vizuri sis akee šSalama ccy sijui ww
Huu mwakaAsante kipenzi nawe pole nakazi!!
Nimewamiss tyu mie unajua navowapendaga eeh[emoji8][emoji8]!!
Miss u much....ššš Jr wa me mzima lakini.Good Evening rafiki ake naniuu!!āā!
Miss you šāļøāļø
Lol nina mpya hataa basii zote used!!Selfika
Miss you tooNipo wapendwa nawamiss tyuuu!! Mu hali Gani huko šš!!
Jr akee yuko poa sana kakumiss tyuu!!Miss u much....ššš Jr wa me mzima lakini.
BuguruniHujaoga????[emoji848]
Huku pia tuko poa kipenzi.. Naomba uibless Jioni yangu iishe vizuri kipenzi ššMiss you too
huku poa vipi wewe ?
DuhZinanigomea atii nikiweka zinapotelea wapi sijui. Nahisi kuna shida...
Siku nyingi sajapiga picha lkn ngoja niangalieMi Niko vizuri pia sis Kitambo sanaa sijakuona humuuu!! Nibariki Jioni yangu iende vizuri sis akee š
Sina hata pichaHuku pia tuko poa kipenzi.. Naomba uibless Jioni yangu iishe vizuri kipenzi šš
Mwambie mi na naniliu tunampenda sanaš¤£š¤£š¤£š š š unamjua naniliuuuu lakiniJr akee yuko poa sana kakumiss tyuu!!
AsavaliSiku nyingi sajapiga picha lkn ngoja niangalie
umeshiba nini T akee Jioni yote hii lol!!Sina hata picha
yaani na nilivyoshiba hapa
ngoja nikutafutie ya zamani ..
Shusha bhas zigo hiloHuyo mwandishi wa habari wa kujitegemea utamuweza kwa uchochezi basii tumzoee ivoivo tyu mwanafamilia tutampeleka wapi sasa [emoji16][emoji16]
Wee zako hutaki kushusha anza wewee basi!