cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,303
Usijar, sina baya mie.Yaishe tu jmn
Usijar, sina baya mie.Yaishe tu jmn
Mzungu wewe😁Usijar, sina baya mie.
Kumbe urafiki wenu ni wakinafiq
Basi tutakuwa hapa wote, rafiki.Yes nakumbuka
siku hizi humu stori nyingi , japo picha zipo ni kwa dakika chache
Mzee wafitna umekuja wakati wahusika wamelala🤣🤣🤣Kumbe urafiki wenu ni wakinafiq
Antonnia wa kukuchukulia mumeo kweli?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Mzungu wewe![]()




ila cjapenda, wee mwenyewe hukawiagi kupanick. Nakuonaa tyuuh.
Daah leo mudi ilikuwa juu so nimevuka mipaka mwanangu soriiiila cjapenda, wee mwenyewe hukawiagi kupanick. Nakuonaa tyuuh.
Sio vizuri bhana, sometimes nakua emotional na mie.
We dharau unazijuaKo mie ndo mapwpe?
Vipi uliwahi kuwa na mahusiano na mie? Had unitoe km reference??
Sometimes sipendagi dharau eti.
Usichochee mkuuWe dharau unazijua
Kaa kwa kutulia
Mapepe mizagamuo
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
pole jiraniWeka picha ya mguu tuone size
Hahaha nipo na mkidoo mmoja tu; Mama ake alitukimbia.
Nikome wapiUliwahi kuniinamishaaa eeeh hadi useme mie malayaaa??
Hivi ugomvi umezoea, au kuna kitu unatafutaaa?
Kwann usijiseme wee mwenyewe na unao wakula?
Unikomeeeeeee.
haha nomaBado sanaaa ktk mapenzii wee, naweza date na wa 3 na wasijuane, afu tena nakua huru kwa kila m1 no kujibanaaa.
![]()
Nilikuwa nakuita tu jmn walikuwa wanakuulizia sana

VizuriBasi tutakuwa hapa wote, rafiki.
mmmh ndoa ya akina nani hao ?
Vizuri
karibu tupige soga
Kesho nitaanzia hapa kwenye hii comment, kwasasa wacha nilale.Vizuri
karibu tupige soga
Ouk.Daah leo mudi ilikuwa juu so nimevuka mipaka mwanangu soriii