Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
Utumie nguvu gani wakati kakutongoza mwenyewe?🤣Mtoto kanielewa situmii nguvi sana mkuu!
Utumie nguvu gani wakati kakutongoza mwenyewe?🤣Mtoto kanielewa situmii nguvi sana mkuu!
Mkuu mimi tena? Nimewahi kukusumbua wapi, nami natamani shape la kibantu la Antonnia? 🤣🤣Ebu mkamate huyo waache kunisumbua na babe wangu Bantu Lady
Dah!!!Utumie nguvu gani wakati kakutongoza mwenyewe?🤣
Daah hii koment Bantu Lady ame dislike sumbai shughulikia hii kitu🤣Dogo langu ulimpeleka wapu cute b? Daah yule dada
Wala sina shida naweweEbu mkamate huyo waache kunisumbua na babe wangu Bantu Lady

Madam nataka nikwambie kitu, sema naogopa majibu yako🤣🤣🤣Nipo nipooo hapaa wa vipaji Hebu niambie 😛😜!!
Pamoja na haya yote Jack hawezi niacha. Nimekupa kazi mpya hiyo ila utaona na siachwiDaah hii koment Bantu Lady ame dislike sumbai shughulikia hii kitu🤣
Naona kijana amekuelewa!😊Nipo nimejaa teleee hapaaaa 🙇🙇🙇🙇!!
ERoni fanya kunibless ule uchebe kwanzaa tuwekane sawaaa!!😁
Mkuu hebu ingie kule kidogo🤣🤣🤣🤣🤣Madam nataka nikwambie kitu, sema naogopa majibu yako🤣🤣🤣
Hii komenti nimecheka sana🤣🤣🤣🤣Usijifanye hujaelewa kaka yangu ERoni amekuelewa anataka mgawane stress 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Antie nipo poa kabisa jui wewe na jr wangu huyoHelloowwwwww aunt akeee!! Habare za miaka mingi ✋😉
Poor Brain 🤣🤣🤣🤣Antie nipo poa kabisa jui wewe na jr wangu huyo