Selfika na JF: Snap it. Show it

vizuri sana aisee
unakuwa multi purpose
Kuna siku mwenge nimekutana na jamaa Yangu mi Niko napiga zangu kelele ananiambia kapachino vipi shida nini? Nikamwambia tulia bwege wewe; Niko harakati unaniambia shida nini
 
mmmh ila wewe
ibada itakuwa imeisha huko .. usharudisha vichwa

jioni mnaringa hapo Kawe siku ile nimejuta kwa nn sijaenda Morroco .. magari yanaishia nyuki au upande bajaji .
 
Huwa tunaita kufa kufaana;
Uwe unanipigia simu Sasa usiwe unafeli jirani;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…