Selfika na JF: Snap it. Show it

Your browser is not able to display this video.
 
Hahaha unateketeza pesa kisha unaweka bili ya Kula daruso bar pale semmister yote RB kubwa saaafi. Na maji ya kudownlod
Nakumbuka nilikuwa nawatia Kama 90 cafe2. Apo ni mwendo wa rb mpaka kiungulia kinakuwa sugu.

Kama sielewi zaidi nachukua mkate ule mkubwa kariakoo na ugawa mara tatu babu apo nachemsha na chai; nikitoka nje ni bonge la brazmen tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Na kariakoo mkate mnanunua usiku msionekane.

Pale daruso bar unaweka bili ya RB kisha unamshikisha dada flan liten badala ya Kula RB unakula samaki kibua.

Ikabuma wakafukuzwa wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…