CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
Mchumba mambo ya kumechi kama nmekuja mjini na gari la mbao Hapana,,Mchumba una pigo za kizee, bas tuachanee tyuuh.
Hata km chachii ndo hujui kumechiiiii?? Aaah nshakuachaa mie sikutaki tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani nina hamu na kitimoto jamani Jack PalladinoMnaendeleaje? Wale wa sabato mko poa?
Wale wala kitimoto kama mimi, pita huku
hahahahahaYani nina hamu na kitimoto jamani Jack Palladino
Mgonjwaa yuko poaa kidg.Habari ya wewe na mgonjwa anaendeleaje
Ndyooooo dear, tunataka tubaki hapa hapa km TA.watu na type zenu lol
haha nendeni huko mmalize na ma gpa makubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenda hukoooooooMchumba mambo ya kumechi kama nmekuja mjini na gari la mbao Hapana,,
hadi hapo nmeshakuvua vyeo vya designer general [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anaweza chukua Singida BS mapinduzi.Acha abebe mapinduzi Kwanza uku ligi kuu simba atatueleza tu
Tuna mmiss tu etiMgonjwaa yuko poaa kidg.
Mbona kapendeza jaman, Wee Coca shida yako unapenda mabarobaro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenda hukooooooo
Uvae shaghalabaghala hivyo?? Ujionee wa town??
Lol
We si umekuja dar 2018 sijui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenda hukooooooo
Uvae shaghalabaghala hivyo?? Ujionee wa town??
Lol
Mi msabato wewe!😡Yani nina hamu na kitimoto jamani Jack Palladino
Owwkey 🙄🙄sitaki, kula mwenyewe
😏😏😏😏Owwkey 🙄🙄
AnakujaaaTuna mmiss tu eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atapigwa kama ngoma nusu yupo na matajiri wa chamanzi Sopu goal 2
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dar naijua kitambooooo sanaaaaa.We si umekuja dar 2018 sijui [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio hvyo, ila leo kazingua.Mbona kapendeza jaman, Wee Coca shida yako unapenda mabarobaro [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Au sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dar naijua kitambooooo sanaaaaa.
Mchumba wewe jurisdiction yako ni tshirt jeans na snikers or whatever wanavaa wa kina nicki minaj,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio hvyo, ila leo kazingua.
Wachaaaa weee??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas sawaaaMchumba wewe jurisdiction yako ni tshirt jeans na snikers or whatever wanavaa wa kina nicki minaj,,
Linapokuja swala la men's wear, tuachie wakulungwa hapa