Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Asante my Beautiful friend kwa maneno mazuri kwa best ako.Komaa nae utulie uache mapepe yako sasaa! Mtoto katulia hana mbambambaa kabisa wewe tu ujichanganye na ma ex zako mia kidogo πππ!!
Hongera sc uko juu mamyninawasalimu
View attachment 2470190
Created by God.Pendaneni mwaya
love is a beautiful thing
Kho kho kho....ninawasalimu
View attachment 2470190
Mtaachana tuπ€£Hapa waambie najua kupenda, sijui kuacha ππππ nafasi imejaa hakuna pa kumuweka. Nakaba mpaka penalt ππππ
Hello Mrembo.Duh aise wew dada unasshape had ya kwangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hongera
ππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Bhana hapa jobless ni mie tyuuh, na isitoshee wapangaji wenzangu huwa wanachelewa kurudi, na hatuonan inaweza pita hata week 3, yaan hata weekends sio rahis sanaa, ni mara chache mnoo. Kila mtu yuko buzzy na life lake, mambo madogo madogo tunamalizana kwa simu.
Km kawaida mie ndo huwa nawahi kurud hapa, sasa leo kumbe aliwahi kurudi mwingne, sijui yuko off au alikua na tatizo gan. Afu ana gari, sasa ningeona pale parking ningejua kuna mtu yupoo. Sasa hajarud nalo.
Bas bhana mie fungua gate ingia ndan huku naskiliza music kwa [emoji442] sikio 1, c ikawa inaimba "shake body " ya Skales wee nilichachawa nkakumbuka enzi zangu nikiwa dancer, nsichomoe [emoji442]na kuacha cm iimbe yenyewe pandsha sauti weka chini Pa1 na mkoba, nkaanza shushaa mautundu yangu hapooo, kata viuno juu had chini. Yaan niko serious mwenyeweee nshachachawa hapo, kumbe jiran yuko kwake ananichabo dirishan, uvumilivu ulimshinda kwann asichekee kwa nguvuu,
Nlishtukaa ghaflaaa, okota vitu vyangu chini huyoo had kwangu fungua mlango tangu nlivoingia ndan had sahv, naona aibu sijui kesho itakuaje. Bora nisionane hata mwezi upite atakua amesha sahau, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie nna heka heka wallah. Khaaaah
ShikamooBinti yangu hujapata mchumba bado kwani?
Ma ex mna wivu... hatuachani ije mvua, lije jua...Mtaachana tuπ€£
Asante my loveβ¦ingawa ndani ya wiki tu chaliiiiπnajaaaDuh aise wew dada unasshape had ya kwangu ππππhongera
Wivuu tyuuu huoooπππ! Jack Palladino kaopoa chombo kikareeeeeeβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈ!Mtaachana tuπ€£
Naaam kakake Mess
Nipe siri ya tumbo kuwa flat hivoo dear umenougaaa sio kidogooooo πππππ₯Asante my loveβ¦ingawa ndani ya wiki tu chaliiiiπnajaaa
Mwili huu
Mwanzilishi mwenyeweCreated by God.
Mbona sielewi elewi,au nina wenge la mwaka mpya?Unataka nikufae wewe kama nani mkuu? Hebu jibu[emoji23]
Kumbe ndio huyu aliechezea bahati? Wakiweza waungane na Valentina ila sisi hatuachani!Ma ex mna wivu... hatuachani ije mvua, lije jua...
My sweetheart Jack Palladino unamuona ex wangu anavyotuombea mabaya?
Wewe ni binti yangu wa maana nakuombea mwaka usipite kuwa na mume bora na sio mchumbaShikamoo
Bado hajaja nyumbani
Na ayashike Kweri kweri asilete bangi zakeeeAsante my Beautiful friend kwa maneno mazuri kwa best ako.
Jack uyashike haya sawa babe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna leo jiraniii kanifaidiii wallah.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walaii Nimechekaaaa [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]!
Sikupatii picha uvochachawaaaa nakujiachiaa Huku jirani anakuzooom tyuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]!!
Hizo mbio zakee hujaacha kiatu nje kweli khakhakhaaaaaaaa!!
Umepatikanaaa leoo