Selfika na JF: Snap it. Show it

Na watch li muvi lenu

Kwa hiyo umeyakanyaga Kwa injinia?

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Glenn serious mimi ni ndugu yako? Na hiyo emoji umenijua kuwa nimimi? Text me kama una namba yangu, uwiii nimefikiwa na ndugu yangu 🤣🤣🤣🤣🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Unataka uujue utambulisho wangu nje ya jf?
Nitakosa uhuru.
Ukitaka nikupe vidokezo hadi unapokaa na mengineyo...ni pm pekee ndipo utajua nimekufahamu au la
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…