Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Unaonekana penda pendaAcha wivu my ex [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] si umeniacha? Halafu nimekimbia mitala, una wake wengi sana Glenn
Mwenyewe nilikupenda sana ila mmmh!!!
Mimi mzima tu
Nimetulia sana, unajua hili hata National Anthem anajua...Nitajie mmoja tu.
Hujatulia wewe unatafuta visababu uchwara...nimrkumind sana
Wigeeee nimeamka salama kabisa, mimi nikipenda napenda haswaaa...
Usimtese kijana wangu, hapo umeopoa kidume mama, usichague sana ujue.Nimetulia sana, unajua hili hata National Anthem anajua...
Shida yako umenitelekeza toka 2023 ianze. Nilikwambia kabisa, najua umekasirika I'm sorry [emoji7]
Sijui hata nitapiga liniMimi mzima tu
Nasubiri ka selfie kako ka 2023
@Bantu Lady huyu ndugu yangu hana baya na mtu, hana mwanamke humu, usiichezee bahati yako kwake.Daah huoni ananisuta na kuniaibisha mkuu?
Lini mimi nikawa na wake wengi bro?.
Wewe ni ndg yangu umewahi kuona niko na dem gani sema kweli
Anajua mwenyewe sababu, na hapa kajirudi baada ya kuona Jack Palladino kanipenda. Bila hivi angepotezea ππππUsimtese kijana wangu, hapo umeopoa kidume mama, usichague sana ujue.
Hizi drama tunaweza kufikia mwisho?Wigeeee nimeamka salama kabisa, mimi nikipenda napenda haswaaa...
Glenn ndiyo pekee alikuwa hubby.. shida yake usiwe na wivu, anao kibao. Ukiuliza anasema huyu hivi huyu vile. Ndiyo niko kwa....
Hawezi kukupotezea, huenda alikuwa anaangalia upepo wako kwa Jack, ameona dogo anakupotezea mda as anao wa kutosha humu. Msikilize kijana.Anajua mwenyewe sababu, na hapa kajirudi baada ya kuona Jack Palladino kanipenda. Bila hivi angepotezea [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Huna wanawake but ile marafiki wa kike wengiiiiiiii inatakiwa mtu asiwe na wivu...Hizi drama tunaweza kufikia mwisho?
Maandishi hudumu ujue?
Mbona umepania kunichafua ndg yangu kulikoni?
DIs is seromious note ujue Bantu Lady
Watu mnapaswa kubadili mtazamo wenu katika kuyatazama mambo.Huna wanawake but ile marafiki wa kike wengiiiiiiii inatakiwa mtu asiwe na wivu...
Aina hii haitaki Antonnia
Its too late, amechezea bahati!πAnajua mwenyewe sababu, na hapa kajirudi baada ya kuona Jack Palladino kanipenda. Bila hivi angepotezea ππππ
I'm so sorry babeWatu mnapaswa kubadili mtazamo wenu katika kuyatazama mambo.
1. Kuna wanawake baadhi kampani zao kubwa ni wanaume na ni waamifu kuliko wasio na kampani hiyo...
2. Kuna wanaume nao kadhali wana marafiki wa kawaida tu wa kike na wala hawagongi.
Katika wote ninaotaniana nao humu hata pm hutachat ni ile nimezoea tu kusema na watu.
Kweli Bantu Lady umenishusha sana hadhi yangu hadi nimechukia japo ni chitchat.
BAhati yako umefunga pm haya nisingeandika hapa..