Linataka damu ! Alafu babu yule anadai alfwat lilimpenda ndo maana alipokosea masharti kule kwa mpemba halikumuadhibu ! Sadaka za damu mbaya, Bora mboga mboga na kabeji
Linataka damu ! Alafu babu yule anadai alfwat lilimpenda ndo maana alipokosea masharti kule kwa mpenda halikumuadhibu ! Sadaka za damu mbaya, Bora mboga mboga na kabeji
isijefika sehemu wakataka kumtoa sadaka mtoto wa watu huko kupendwa na majini sio kabisa!
Au labda alivokua jasiri haogopi na alipokuwa anasafisha ule ute ute pale chini bila kujali wala kinyaa!
Kuna watu wana mioyo ya ujasiri aiseeehhh!!
Yes wanahisi hivyo? Mimi ni mweupe pee pia but ukisema Mkurya wanakataa. Mara imebarikiwa kila kitu, wanawake wa Kichaga wameligundua hilo tumeoa kama wote...