Asante luv. Anafatilia maana ni mtu mwenye wivu sana. Ni kijana but nachoshukuru ana hekima sana. Bila hivyo
akiona kitu hajapenda, atauliza.
Sababu maisha ya kawaida miye ni mwaminifu, so vya huku anajua nahave fun tu.
Sema hajakutana na comment zangu za kuflirt atakufwaaaaa