Selfika na JF: Snap it. Show it

hahahaha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utadhalilishwaaa vipiii sasa nawee, acha uwogaaa, unaniangushaaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Humuu siwawezi shosssss nilivo na damu ya kunguni πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!
Au ngoja Bantu Lady anipe mwongozo miyeee🀣🀣🀣
 
Humuu siwawezi shosssss nilivo na damu ya kunguni πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!
Au ngoja Bantu Lady anipe mwongozo miyeee🀣🀣🀣
Nacheka kama mazuri vile, humu tena au umemiss yale??? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama vipi jilipue tu πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
 
Hao wazee fanya kunipasia hapaaaa 🀣🀣🀣🀣 naenda nao adoo adoo hadi wanafurahiiii wenyewe!πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚ !!
Naelewa fleva zako yanks barobaroooo Jeans mchanikochaniko!
 
Sasa mtu ana mke, eti ooh tufanye siri, usinitafute had nikuanze mie, hatilukutan hadharan wala nn, hatu have fun, yaan n kukutan hotelin au lodge kuzagamuana afu kila mtu apite hivi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na huu ukichaa wangu, mbna ntaharibu dkk 2 tyuuh, sitaki unafiki mie,

Niko real afu najikubaliii sasa, mie mzungu bhanaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna jamaa alitaka kuleta usela maviiii nlimfurahishaaa na hatonisahau dadekiiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humuu siwawezi shosssss nilivo na damu ya kunguni [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!
Au ngoja Bantu Lady anipe mwongozo miyeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujanifikiii mie. Ila sasa mie wananichukia hadharan, ila mioyoni na nafsini mwao wana nikubaliii kinomaaa nomaaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si unakua wa siri naweee full kufichwaaa🀣🀣🀣 madharti mia kidogo πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!
Umpigie siku Usiku ili muongee niniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!! Unatuliza kiharage chako hadi akutafute🀣🀣🀣 πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Hao wazee fanya kunipasia hapaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naenda nao adoo adoo hadi wanafurahiiii wenyewe![emoji16][emoji16][emoji23] !!
Naelewa fleva zako yanks barobaroooo Jeans mchanikochaniko!
Wazeee hapanaa mwsho waanze kuniambia niwe navaa codes za ofisini akati sio fleva angu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wazeee hapanaaa, ngojaaa nikupasieeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasema siweziiiiiiii, mwenzio mie kumpiga dendaa babee angu hadharan sishangai, kumkumbatiaa, kujidekeza na kujishauaaa hizo sio shda zanguuu eti.

Wawezeee wengineee, mie hapanaaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nacheka kama mazuri vile, humu tena au umemiss yale??? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama vipi jilipue tu πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Nijilipue wapii?? Saii kila mtu apambane nahali yake tyu no way kule sirudi hata kwa mtutu😁😁😎!
Nipe siri ya kudumu na Mtu humu mi nilishashindwaga kipenzi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…