Selfika na JF: Snap it. Show it

Naona watu wanamchana Muraaa analeta usupastaaa kule madoido kibao!!!
ameshavimba kichwa huyo,,,, alivoleta ile taarifa yupo mbeya alishindwa kutoa excuse ama aseme ni muda gan ataweka ? Bora aweke ratba watu wajue,,, ! Comments anazisoma Sana tu !!!!
 
ameshavimba kichwa huyo,,,, alivoleta ile taarifa yupo mbeya alishindwa kutoa excuse ama aseme ni muda gan ataweka ? Bora aweke ratba watu wajue,,, ! Comments anazisoma Sana tu !!!!
Yeah amekua famous Na watu wanamtafuta sana kuonana nae na kumsapoti in one way or another so bichwa hilooo plus jeuriiii za kikwao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…