kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,987
- 4,872
Kwani nini bibieHabari za mwaka mpya ni kama za mwaka jana tu...nothing new.
Kwani nini bibieHabari za mwaka mpya ni kama za mwaka jana tu...nothing new.
😂😂😂 tuenjoy nn?Nakupenda pia shogaa like I can't live without you😂
You are full of +ve vibes, uendelee kuwa good girl na mwaka huu tuenjoy zaidi🥰
Hahahaa simu utapokea utake usitake, yaani ndio tutazidisha
Kaselfie ka mwaka mpya mrembo!Shukran kipenzi ❤️
Uwe mwaka wa mafaniko na baraka telee kwetu sote 🙏
Sina hata mpya nikipiga hiv nitatupiaKaselfie ka mwaka mpya mrembo!
Naona watu mmefungua mwaka kwa vifungoNilifungiwa
Ndio nimeachiwa sasa
BlazaNjooni tuselfike selfie za 2023
Jirani yake myoyambendi selfikaBlaza
Me nimelala nimeshazima taa hapaJirani yake myoyambendi selfika
huu mguu wa mamaj
Umetubania Sana ujue pichaNjooni tuselfike selfie za 2023
Kwa mama Jay au siyo
Mama j mtu mbad
Happy New Year reymageUmetubania Sana ujue picha
Njooni tuselfike selfie za 2023