Love you more baby girl mwenye rangi yake ya mtume😍****Kuwa duni. Au kujihamasisha na Chochote kinachofanyika, daima ni chaguo lako.
****Yote tuliyonayo ni matokeo ya kile tumefikiri.
****Mambo mengi muhimu duniani yametimizwa na watu ambao wameendelea kujaribu wakati kunaonekana kuwa hakuna matumaini hata.
Nawatakia wote kheri ya mpya Mungu awabariki atuongeze palipopungua ukawe mwaka wa mafanikio na ndotozetu zote zikatimie
Antonnia@carrasco putin@Glenn@Grahams
cocastic@Mjep Lizzy ERoni@National Anthem Poker Saint Anne Mshana Jr Kapachino Depal Lenie
Nimeshindwa kutag wote nawapenda sana na Nawatakia kheri ya mwakampya
Asante sana mwayaLove you more baby girl mwenye rangi yake ya mtume😍
Happy new year, uwe na mwaka wenye furaha na baraka tele
HaterHeri umeifuta
Maana nilikuwa naja kuiponda balaa
Nakupenda pia shogaa like I can't live without you😂Happy New Babe Sis
Rafiki kichizi
Huu mwaka simu za Alfajiri na saa 8 za usiku sitakiii
😂😂
Tuendelee tulipoishia mwaka jana.
Nakupenda ❤️❤️
Lenie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee nae muongo muongo tyuuh. Hata sikuamini.Karibu mpenda kibamia[emoji28]
Uuuuh chakula kitaaamuuu.Karibuni lunch 2023View attachment 2465522
Shangazi mwenye lips zake mjiniiiii. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Mamaaa lipssssss 👌👌👌👌!!
Aunt yangu mzuri mzuri
Shavu dodo ,, ,, happy new year in advance
Wengine hata hatujalaaa, na hatujui tutakula nn.Tupieni za mlivovimbiwa basiii![emoji16][emoji16][emoji16]
Namtuma Jr akuleteee hapo ulipo!!Wengine hata hatujalaaa, na hatujui tutakula nn.
Life ngumu hili uwiiiih. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio shavu tyu lipsss matratraa sana !Shavu dodo ,, ,, happy new year in advance
Hebu aleteee fastaaaa bas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namtuma Jr akuleteee hapo ulipo!!
Mnatuma vyakulaa!! Tumeni na picha zenu.Nililala Nikaamka Nikalala Tena Ndo Naamka Sasa.
Tukutane Warehouse kwa Ajili ya Lunch na Mitikasi mingine.
Breakfast Tayari[emoji736]View attachment 2465627
Nimevimbiwa nimejiegesha kwanza gesi ipungue😁😁😁😁!!
Ukiona sijatuma sura yangu ujue mi ni sura personal yan sura ambayo mtoto akiona anaanza kulia anazan ni ghost.