Selfika na JF: Snap it. Show it

****Kuwa duni. Au kujihamasisha na Chochote kinachofanyika, daima ni chaguo lako.

****Yote tuliyonayo ni matokeo ya kile tumefikiri.

****Mambo mengi muhimu duniani yametimizwa na watu ambao wameendelea kujaribu wakati kunaonekana kuwa hakuna matumaini hata.

Nawatakia wote kheri ya mpya Mungu awabariki atuongeze palipopungua ukawe mwaka wa mafanikio na ndotozetu zote zikatimie
Antonnia@carrasco putin@Glenn@Grahams
cocastic@Mjep Lizzy ERoni@National Anthem Poker Saint Anne Mshana Jr Kapachino Depal Lenie
Nimeshindwa kutag wote nawapenda sana na Nawatakia kheri ya mwakampya
 
Heri ya mwaka mpya chief!
Ikawe heri kwako na wote unaowapenda, ukawe mwaka wa mafanikio kwa kila unalterable kwa wema, afya njema na uzidi kuimarika kiuchumi.

Kuhusu sophy27 🤣🤣🤣
Kuhusu Pellaiah, nitazifikisha bila hiana🤣🤣
 
Heri kwako pia ostaadhat, Mwenyez Mungu akupe lililo hitaji la moyo wako, ukafanikiwe kwa kila unalotenda.
 
Yani huyu auntyangu ana mambo 😂😂
Pole sana kiongozi, atakuwa alilala kwenye mkesha huko. 🤣🤣🤣
Heri kwako pia ostaadhat, Mwenyez Mungu akupe lililo hitaji la moyo wako, ukafanikiwe kwa kila unalotenda.
😀😀😀 nyie hapa mnaibuka pamoja na huwa mnayoweka pamojaaa... nyie inabidi muwe watu wangu wa kuiga mnavopendaanaaa
 
Ahsanteeeeee shangaziiii angu na Mke mwenzaaaa

Tumtunzee mume wetu vizuriiii, kheriii yakooo shombe shombe wangu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lenie tayari kwani 😉😉😉

Nakupenda, Mwaka wa 2023 uwe mwaka wa promotion kwako na familia yako. Kazi ya mikono na miguu yako ikasimame kila mahala
Mimi bado mdogo hayo mambo sijaanza😊

Thank you chalii angu, nakupenda pia sana tu.
Mungu aendelee kutubariki mwaka huu uwe wa upendo, furaha na amani katika maisha yetu❣️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…