Wanaselfika hamjambo jaman β¦naombeni msaada yeyote mwenye kujua hivi viatu vya kutoka Kenya wapi naweza kuvipata nitashukuru.nilijaribu mara nyingi kuvitafuta kwenye duka nililonunulia sikufanikiwa kuvipata kama hivi..ninapata vyenye kipira katikati
nilikwenda duka fulani Moshi stand ya Arusha Kwa pembeni lakini pia sikupata
.mwenye anajua duka linakopatikana kindly link me up jamani.vinakuwaga na chapa juu yakisigino
View attachment 2463644