Selfika na JF: Snap it. Show it

Kinzudi huko aisee
nimekoma huko
Pole Sana! Uwe unatumia Goolge map inasaidia Sana;

Sie tulie kuulia uswahilini huwa ni ngumu Sana kupotea; Yani hatuna uwoga wa kutokea hata sebleni kwa mtu.
 
im happy for you
mambo hayo
Mungu ni mwema ...
Thank you kipenzi.. 😘😘
Kuna wanaume ni waelewa hadi raha nakwambia!!
Hawanaga mbambambaa maswali wala maelezooo mengi wala neneeeee !!
I'm happy for him and blessed to have him dear Mungu ambariki kila kitu chake kazini nyumbani barabarani uzao wake nahata vitukuu na vijukuu vyake mamyy!! He's one in a million!!!
 
Naona unakanywesha Viagra na kukapakaza mkongo dust

Hako kazee Ili kakumwage maji

Ili mambo yako yaende katakuja kukufia kifuani

Halafu uanzishe siredi ya kulialia hapa

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
hongera dear umepata mume mwema .. uzidi kumpenda , kumtii na kumuombea hivyo .
what a loving man ....

nawaombea kila la kheri ...
 
wanaume waelewa hivyo ni wachache sana .
mshikilie hivyo hivyo na umpe yote .
 
Naona unakanywesha Viagra na kukapakaza mkongo dust

Hako kazee Ili kakumwage maji

Ili mambo yako yaende katakuja kukufia kifuani

Halafu uanzishe siredi ya kulialia hapa

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣!

Mzee mtabe mafia ninja sana huyu Anatroooooo balaaaaπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹!!

Badaeeeeeee!!🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…