Selfika na JF: Snap it. Show it

3.28 AM

Amka nikupeleke church
ukaabudu mtoto mlito.

Bunju_Goba_stand ya magufuli mbezi.

Ikirudi ni kimara_mawasiiano mwenge_kibaoni.
hahah route ya kwanza umeipatia

route ya pili iwe simu 2000- tegeta nyuki .

zamani wakati nakuja huku nilikuwa nakosea nipo pale njia ya panda ya chuo

siangalii gari kama ni B/sokoni au T/nyuki .. nakuja kushtuka wakati nampaa konda hela ananirudishia mia 500,, hapo nishapanda la nyuki hivyo ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…