Hiyo njia ya magengeni kwa wenye gari.. sie watu wa daldala tunashuka hpo chama na kuchukua bajaji au bolt .Kumbe unaweza pitia apo magengeni;
mtoto wa kishua wewe! Haha unaanzaje anzaje kutokuwa vizuri.
Ndege kuna mgeni alifungua madirisha, akacha ninapokaa pamepakana na ka pori wakatokomeaπ₯²π₯²
Hebu chamba tusikie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie ningemchambaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi wee una nn?? Nna kizungu cha kuchapia staki bhana.
Nenda pm chukua #mwaka mpya kanizururishe uko ununio!! Napasikia sana
Watu wa mikoani sisi hatuujui mji vizuri
Wameishia kula & kunywa sisimizi πππππππ umenibakizia
Saa hizi kweli???ππnakunywa na kashata ππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie ninge mfurushaaa kwa kweli.weh ana mdomo huyo kaolewa na mhindi mbongo sijui [emoji28]
tulikuwa tunasoma notes hizo aiseee ... nilichoka hahhaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sisemi uwongo
hahaha coca inabidi uwe mpole , akiwa Boss wako je ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie ninge mfurushaaa kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinavoishaga akili ya kupata nyingi zaidi ya hizo ulizonazo ndo huwa inakuja vizuri.Hiyo njia ya magengeni kwa wenye gari.. sie watu wa daldala tunashuka hpo chama na kuchukua bajaji au bolt .
mlalahoi tu mie
January hiyo inakuja niende kushangaa huko ... nibaki mwezi mzima najiuliza π π
Upo sahihi ..Zinavoishaga akili ya kupata nyingi zaidi ya hizo ulizonazo ndo huwa inakuja vizuri.
Don't be afraid.
πππ mzee umemuagaje wife wakoNipo hapa namzoom baunsa mawazo mkuu
wakusanye hao sisimi nakuja kuwanywaaaWameishia kula & kunywa sisimizi ππ
Sikupeleki Vancouver wala Toronto π’ πSaa hizi kweli???ππ
yes ni muelewa.Nenda pm chukua #
Muyajenge
Story za hujui mji ziache huko mkoani
Mbona mwelewa
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Owwkey ππSikupeleki Vancouver wala Toronto π’ π
Understandble mzungu sana Hana shida!!πππ mzee umemuagaje wife wako
haha usiku unaweza ukayaona na usiyoyatarajia ujue.Upo sahihi ..
when you spend ghafla unapata kidogo .
nimepanga nikienda kule nakaa hdi usiku nione panvyokuwa .