Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,278 Dec 26, 2022 #300,241 Valentina said: Nikija utanipeleka wapi kati ya hizo jirani yangu Click to expand... ππ
Poker JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 6,534 Reaction score 19,089 Dec 26, 2022 #300,242 Wigelekelo said: Kwanini hiyo bold iwe kwangu Halafu hiyo kaka mbona husikii Kuna unachonitafuta Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app Click to expand... Wigelekelo vp mbona unataka kula shemeji yako?
Wigelekelo said: Kwanini hiyo bold iwe kwangu Halafu hiyo kaka mbona husikii Kuna unachonitafuta Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app Click to expand... Wigelekelo vp mbona unataka kula shemeji yako?
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,278 Dec 26, 2022 #300,243 Lenie said: Orlandoπ Aende hapo nilipafurahia sana Yaani umejizungusha hadi usiku huu ndio unaenda kwa watu Click to expand... ππππππππ Nimerudiiiiiiiiiiiii Bro ananiambia sasa kawatishe status Alooo em weka mb zangu spesho za kuniview
Lenie said: Orlandoπ Aende hapo nilipafurahia sana Yaani umejizungusha hadi usiku huu ndio unaenda kwa watu Click to expand... ππππππππ Nimerudiiiiiiiiiiiii Bro ananiambia sasa kawatishe status Alooo em weka mb zangu spesho za kuniview
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Dec 26, 2022 #300,244 National Anthem said: aaah wapi ebu tumuone huyo sungura Click to expand... Mjomba wale ndege zako wako wapi ..
National Anthem said: aaah wapi ebu tumuone huyo sungura Click to expand... Mjomba wale ndege zako wako wapi ..
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 Dec 26, 2022 #300,245 Depal said: ππππππππ Nimerudiiiiiiiiiiiii Bro ananiambia sasa kawatishe status Alooo em weka mb zangu spesho za kuniview Click to expand... Tunajuta tumekosa sisiπ€£π€£ Nilikwambia nitakublock maana sina mb za bure hadi kesho
Depal said: ππππππππ Nimerudiiiiiiiiiiiii Bro ananiambia sasa kawatishe status Alooo em weka mb zangu spesho za kuniview Click to expand... Tunajuta tumekosa sisiπ€£π€£ Nilikwambia nitakublock maana sina mb za bure hadi kesho
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Dec 26, 2022 #300,246 Umekuwa mwema kwangu Nashindwa kueleza Eeh Bwana Eeh Bwanaπ Evelyn Wanjiru
Roger Sterling JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 13,010 Reaction score 23,653 Dec 26, 2022 #300,247 Time to cash in on those invitations.
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Dec 26, 2022 #300,248 Mnyonya Mbususu said: Wigelekelo vp mbona unataka kula shemeji yako? Click to expand... Sasa hiyo kaka Inatoka wapi? Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Mnyonya Mbususu said: Wigelekelo vp mbona unataka kula shemeji yako? Click to expand... Sasa hiyo kaka Inatoka wapi? Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Dec 26, 2022 #300,249 Tinsley said: Happy boxing day Click to expand... Byurifuu Bora hujanyoa tu Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tinsley said: Happy boxing day Click to expand... Byurifuu Bora hujanyoa tu Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Dec 26, 2022 #300,250 Saint Anne said: Byurifuu Bora hujanyoa tu Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app Click to expand... thanks na wewe pia mzuri nimeona komwe litanisaliti π
Saint Anne said: Byurifuu Bora hujanyoa tu Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app Click to expand... thanks na wewe pia mzuri nimeona komwe litanisaliti π
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Dec 26, 2022 #300,251 Tinsley said: thanks na wewe pia mzuri nimeona komwe litanisaliti Click to expand... Komwe lote hilo unataka kunyoa Raha ya mwanamke nywele, mwakani tu unaolewa aisee tunza tu za kusuka harusini Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tinsley said: thanks na wewe pia mzuri nimeona komwe litanisaliti Click to expand... Komwe lote hilo unataka kunyoa Raha ya mwanamke nywele, mwakani tu unaolewa aisee tunza tu za kusuka harusini Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Dec 26, 2022 #300,252 Saint Anne said: Komwe lote hilo unataka kunyoa Raha ya mwanamke nywele, mwakani tu unaolewa aisee tunza tu za kusuka harusini Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app Click to expand... Hahaha nikinyoa sitishi sema nakuwa na kasura kakitoto. weuweeh i receive IJN nywele nzuri sana ukisuka bichwa hilo .
Saint Anne said: Komwe lote hilo unataka kunyoa Raha ya mwanamke nywele, mwakani tu unaolewa aisee tunza tu za kusuka harusini Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app Click to expand... Hahaha nikinyoa sitishi sema nakuwa na kasura kakitoto. weuweeh i receive IJN nywele nzuri sana ukisuka bichwa hilo .
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Dec 26, 2022 #300,253 Tinsley said: Hahaha nikinyoa sitishi sema nakuwa na kasura kakitoto. weuweeh i receive IJN nywele nzuri sana ukisuka bichwa hilo . Click to expand... Mnaongelea kunyoa Nini? Leo nyie wawili siwaelewi Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Tinsley said: Hahaha nikinyoa sitishi sema nakuwa na kasura kakitoto. weuweeh i receive IJN nywele nzuri sana ukisuka bichwa hilo . Click to expand... Mnaongelea kunyoa Nini? Leo nyie wawili siwaelewi Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Dec 26, 2022 #300,254 Saint Anne said: Komwe lote hilo unataka kunyoa Raha ya mwanamke nywele, mwakani tu unaolewa aisee tunza tu za kusuka harusini Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app Click to expand... mie najionaga sina komwe kubwa nikicompare na wengine π sema linatusaidia ukisuka kupendeza ni automatically
Saint Anne said: Komwe lote hilo unataka kunyoa Raha ya mwanamke nywele, mwakani tu unaolewa aisee tunza tu za kusuka harusini Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app Click to expand... mie najionaga sina komwe kubwa nikicompare na wengine π sema linatusaidia ukisuka kupendeza ni automatically
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Dec 26, 2022 #300,255 Wigelekelo said: Mnaongelea kunyoa Nini? Leo nyie wawili siwaelewi Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app Click to expand... Hahaha jamani π nywele za kichwani
Wigelekelo said: Mnaongelea kunyoa Nini? Leo nyie wawili siwaelewi Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app Click to expand... Hahaha jamani π nywele za kichwani
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Dec 26, 2022 #300,256 Tinsley said: Hahaha nikinyoa sitishi sema nakuwa na kasura kakitoto. weuweeh i receive IJN nywele nzuri sana ukisuka bichwa hilo . Click to expand... Usinyoe bwana. Wanaume wanapenda nywele. Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tinsley said: Hahaha nikinyoa sitishi sema nakuwa na kasura kakitoto. weuweeh i receive IJN nywele nzuri sana ukisuka bichwa hilo . Click to expand... Usinyoe bwana. Wanaume wanapenda nywele. Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Dec 26, 2022 #300,257 Tinsley said: mie najionaga sina komwe kubwa nikicompare na wengine sema linatusaidia ukisuka kupendeza ni automatically Click to expand... Hakuna msuko unaomkataa mwenye komwe Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tinsley said: mie najionaga sina komwe kubwa nikicompare na wengine sema linatusaidia ukisuka kupendeza ni automatically Click to expand... Hakuna msuko unaomkataa mwenye komwe Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Dec 26, 2022 #300,258 Saint Anne said: Usinyoe bwana. Wanaume wanapenda nywele. Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app Click to expand... usiniambie hawapendi nitanyoa tu kuna vistaili vizuri ... ipo siku
Saint Anne said: Usinyoe bwana. Wanaume wanapenda nywele. Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app Click to expand... usiniambie hawapendi nitanyoa tu kuna vistaili vizuri ... ipo siku
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Dec 26, 2022 #300,259 Saint Anne said: Hakuna msuko unaomkataa mwenye komwe Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app Click to expand... kweli kabisa yaani utasifiwa hadi kero . knotless pia msuko wetu ule .. nimetamni niusuke tenaa.
Saint Anne said: Hakuna msuko unaomkataa mwenye komwe Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app Click to expand... kweli kabisa yaani utasifiwa hadi kero . knotless pia msuko wetu ule .. nimetamni niusuke tenaa.
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Dec 26, 2022 #300,260 Tinsley said: Hahaha jamani nywele za kichwani Click to expand... Oh Sawa Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Tinsley said: Hahaha jamani nywele za kichwani Click to expand... Oh Sawa Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app