Pole!boring aisee
masaa hayaendi , nimejivuta weh hadi namaliza kazi .. muda umeganda tu .
crush hayupo .Pole!
Ungetoka out na crush!!
Bora ulibadili mazingira nakubariz kidogocrush hayupo .
nilitoka mchana kwenda kushangaa bahari .
Yeah dearBora ulibadili mazingira nakubariz kidogo
Umesahau mayai mawili. Ila soseji zimezidi
ππ I love you Bantu Lady kheri ya mwaka mpya na krisimasi... 2023 muhimu kadi.. ka Pellaiah kadogo kangu tuu ndio maana tunapendana nako, kuna mtu anataka amtoe roho humu nimeona bora niokoe jahaziKumbe mnapendana humuhumu mmmh nyinyi
πππππ
mbona mnaamka mapema sana hamna wapenzi
I love you too National Anthem πππ Happy Boxing Day ππππ I love you Bantu Lady kheri ya mwaka mpya na krisimasi... 2023 muhimu kadi.. ka Pellaiah kadogo kangu tuu ndio maana tunapendana nako, kuna mtu anataka amtoe roho humu nimeona bora niokoe jahazi
πππ hotel gani hiyo ina madikodi.. tushajuana ambao hatujalala manyumbani ππ mnafidishia nguvu za mlalo wa jana
I love you too National Anthem πππ Happy Boxing Day ππ
Nimekesha Jana hapo nimepakubali Leo ilibidi nisafiri nimeghairi badae nipo hapo TenaUko eneo la tukio?
Boksi day njemaNimekesha Jana hapo nimepakubali Leo ilibidi nisafiri nimeghairi badae nipo hapo Tena
Kwa kweli[emoji6][emoji6][emoji6] hotel gani hiyo ina madikodi.. tushajuana ambao hatujalala manyumbani [emoji23][emoji23] mnafidishia nguvu za mlalo wa jana
White Sand Hotel...πππ hotel gani hiyo ina madikodi.. tushajuana ambao hatujalala manyumbani ππ mnafidishia nguvu za mlalo wa jana
Paukweli sana hapo.Nimekesha Jana hapo nimepakubali Leo ilibidi nisafiri nimeghairi badae nipo hapo Tena
πππ mmekiwashaa eeeh.. dah.. wakuu mnafaidi na kale kaupepo ka bahari .. hamchokiWhite Sand Hotel...