@karma kumbe una cousin wa kike [emoji39] age yangu kabisa huyo
Yule manzi huwa anakata hewani,kumpata ni shida
Karma nimeona nipite hapa Mara moja japo kukujulia hali ndugu yangu. Naamini siku yako leo imeanza vizuri.
Hahahahh
Asanteee SweetieLee ...
You don't have mine[emoji3][emoji3][emoji3]
Unavyowaambia watu una sura chachu
Hivi wewe umewekaWewe yako mbona huweki unataka za watu
Pale ulipofunika na kalamu pana maandishi gani?
Pale pa never will ...!
Never will I
Nimekutag jana nikaona huji hadi nikafuta
😆😆😆🤦🏽♂️Ndiyo kama shubiri yani
HahahahahhhOoh! Jana niliingia lakini sikuona notification yoyote.
Mwandiko umejitahidi kidooogo!
Hebu do the needful basi 😁Hahaha ukoo wetu watoto wa kike ni wengi kuliko wa kiume hivyo nina madada nina wadogo wa kike na nina mabinamu wa kike wa kutosha tu
Halafu kati ya wote hao hakuna aliyefikisha hata miaka 30 wala hakuna aliyeolewa japo wapo ambao tayari wana watoto na wapo ambao wameshachumbiwa tunasubiri kula pilau tu (nazungumzia wale ndugu wa karibu kabisa hasa upande wa mama)
Hahahahahhh
Naona watu wameona mwandiko zaidi ya ujumbe wangu wa upendo kwenu,kila anayeona anacomment kuhusu mwandiko
Hahahahahhh
Naona watu wameona mwandiko zaidi ya ujumbe wangu wa upendo kwenu,kila anayeona anacomment kuhusu mwandiko
Naomba tuwe marafiki.Hahaha ukoo wetu watoto wa kike ni wengi kuliko wa kiume hivyo nina madada nina wadogo wa kike na nina mabinamu wa kike wa kutosha tu
Halafu kati ya wote hao hakuna aliyefikisha hata miaka 30 wala hakuna aliyeolewa japo wapo ambao tayari wana watoto na wapo ambao wameshachumbiwa tunasubiri kula pilau tu (nazungumzia wale ndugu wa karibu kabisa hasa upande wa mama)
Hebu do the needful basi [emoji16]
Haisumbui we fanya necessary arrangements tuShida haiko,, ni wallet yako tu..
Naomba tuwe marafiki.