Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,463
- 7,078
kinachokufanya unione dogolasi hiyo mikato au? Hizo swags tu naenda nao sawa vijana wa kileo ila mie dongo la kizamani chuma steel dongo mjerumani.Unajifanyaa msumbufu kumbee ni dogolasi tyuuh, mxxxiiiiiiieeeeeeewwww!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Polee...huko ulipo hamna maduka ya waswahili??Nimemiss sana ugali😩
hahahaha,chief unagombea nnTatizo wajumbe
Wajumbe wenyewe kina
Grahams ERoni na mtu chake
Wanachinja hawacheki na kima[emoji1787]
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Home boy?!!?kinachokufanya unione dogolasi hiyo mikato au? Hizo swags tu naenda nao sawa vijana wa kileo ila mie dongo la kizamani chuma steel dongo mjerumani.
Merry Christmas homeboy [emoji904][emoji348][emoji320]
Ubunge Depalhahahaha,chief unagombea nn
Kwamba tukaribie
Hakuna labda nutafute unga nipike mwenyewe!Polee...huko ulipo hamna maduka ya waswahili??
Kabisa...msaada wa kufanya usafi unahitajika mafundi wakimaliza kazi. 😁Kwamba tukaribie
Ukikosa tuambie walavumbi tukutumie.Hakuna labda nutafute unga nipike mwenyewe!
Eti walavumbi😅Ukikosa tuambie walavumbi tukutumie.
Yeah ni homeboy huyo
Hii kweli unashiba mkuu🤔
[emoji319][emoji319][emoji319][emoji318][emoji318]Wishing y'all a relaxing and stress-free holiday .
Merry christmas ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie sio Zoa Zoa, samahani Wigee.
Wee ni dogolasi tyuuh em kwendraaa huko.kinachokufanya unione dogolasi hiyo mikato au? Hizo swags tu naenda nao sawa vijana wa kileo ila mie dongo la kizamani chuma steel dongo mjerumani.
Merry Christmas homeboy [emoji904][emoji348][emoji320]
Tiles nimezipendaaa kwa kweli. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Kabisa...msaada wa kufanya usafi unahitajika mafundi wakimaliza kazi. [emoji16]View attachment 2457471