Dah! 😍😍 thanks Bebe J but not satisfied 🏃🏃 Sweet handwriting....napenda hizo kalamu ukiandikia inaacha kaharufu flani hivi kakuvutia
Ongezea na nyingine basi afu kama kawaida usisahau tag....
Nilivyoona 'tunguli zimenibamba' nikajua enhee' Leo namuotea yule mtoto mzuri,
Sema mashaalah' una mwandiko mzuri! Good Lord.! Me nacharaza docta akasome.!!