Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,574
- 235,415
Nilikuwa nimechoka sana, kichwa kinanigonga Kwa kweli nisingeweza kusimama.hahaah ukamkaushia halafu wanajua tu utampisha ... anasimama pembeni yako kabisa .
nashukuru route nayokaa haina shida ya usafiri .. watu wanashuka njiani .. hata ukisimama huteseki
duh vinaumiza ahVinatembea muda wote
Asante mtaalamu nitatulia hapo the HUB kwa msaada wa Google map1. The Hub
2. The pillars
3. Kipong- vibe ila pa kawaida me naonaga
Unahitaji private car mchumba, acha nipambane nikutafutie ndinga.Juzi nimepanda mwendokasi,nimechoka wee halafu anaingia mama na mtoto.
Badala asogee kule Mbele kwenye zile siti zao, amepandia nyuma na anatuangalia usoni.
Kwa kweli sikupisha mtu .
Wanatuumiza macho bureduh vinaumiza ah
aliyevibuni hapana
Nilikuwa nimechoka sana, kichwa kinanigonga Kwa kweli nisingeweza kusimama.
Tena nilikaa dirishani,mwenzangu ndio alikaa pembeni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unahitaji private car mchumba, acha nipambane nikutafutie ndinga.
hivyo vinakera
Pole sana mchumba![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli
Nataabika mimi
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mkali wa hizi kazi1. The Hub
2. The pillars
3. Kipong- vibe ila pa kawaida me naonaga
Kwa hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli
Nataabika mimi
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nimemiss sana ugali😩
HuyoMkali wa hizi kazi
Na hapo sijaweka Cocoriko yenye Live band na ile Cocorkko nyingine ya Club & Lounge.Mkali wa hizi kazi
Orlando😍Na hapo sijaweka Cocoriko yenye Live band na ile Cocorkko nyingine ya Club & Lounge.
Sijaweka Mopao- Moshono
Sijaweka Blue stone- unyama sana hapo, ushuani yan, little expensive
Sijaweka Orlando yako 🤣
Sijaweka The Don
Sijaweka Viavia kwa wqzungu
🤣💃💃
Nipo njiani naenda kwa bro
Good hayo ndio Mambo yangu naenda hapo hapo nikasikie rhumba naamini patakua na watu wazima wenzangu wengi
Gombea tu ubunge Arusha [emoji23][emoji23]Na hapo sijaweka Cocoriko yenye Live band na ile Cocorkko nyingine ya Club & Lounge.
Sijaweka Mopao- Moshono
Sijaweka Blue stone- unyama sana hapo, ushuani yan, little expensive
Sijaweka Orlando yako [emoji1787]
Sijaweka The Don
Sijaweka Viavia kwa wqzungu
[emoji1787][emoji126][emoji126]
Nipo njiani naenda kwa bro