Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa atachukuaje hizo zawadi?
Wao kama wangetaka kumpa wangetoa tu namna Nzuri ya kuwapa
Eti tunapigia kura mmechanganywa na watu ambao hawapo.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
na mwaka huu wote hakuwepo, maana yake yuko nje ya vigezo.
Ingekua mwaka jana sawaa, si alikaa had robo 3 ya mwaka. Ila mwaka huu wote hayupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na mwaka huu wote hakuwepo, maana yake yuko nje ya vigezo.
Ingekua mwaka jana sawaa, si alikaa had robo 3 ya mwaka. Ila mwaka huu wote hayupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nani alikuwa anaselect Jamani chaa!
Hata Rais alipokufa tunaendelea kumuenzi lakini majukumu yake akachukua mwingine maana yeye hayupo.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Kasheshe

Kumbe unapenda maji ya mto?

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…