๐๐Kwamba sie tusile kutuonea kunawengine tunanenepa vyote aise ๐Unatafuta kitambi Kwa nguvu zote [emoji16]
Zege tule sisi wenye maatumbo yasiyo na shukurani
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Upunguze sasanipo mazingira hatarishi nikitoka tu nashawishika ๐ .
Shangazi bhana[emoji1787][emoji23][emoji23]Kwamba sie tusile kutuonea kunawengine tunanenepa vyote aise [emoji23]
hapana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shangazi bhana[emoji1787]
Wapi tena kunanenepa?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Kilakitu kinanenepa๐๐๐Shangazi bhana[emoji1787]
Wapi tena kunanenepa?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Yeah upo sahihi kabisa.Me too adimu Sana Jamani
WachaaKilakitu kinanenepa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera sana lkn mbona umechelewa sanaYeah upo sahihi kabisa.
Mwisho wa mwaka huu,nafanya maandalizi ya kuandaa shamba mrembo wangu. Mvua zinakaribia kuanza.
๐๐
nitajitahidi dearUpunguze sasa
Hapana, huku niliko huu ndiyo muda wake.Hongera sana lkn mbona umechelewa sana
Hamna hiyo haki[emoji23][emoji23]Kwamba sie tusile kutuonea kunawengine tunanenepa vyote aise [emoji23]
Ooh hapo sawa unalima nnHapana, huku niliko huu ndiyo muda wake.
๐๐๐Yamekuwa hayoHamna hiyo haki
Matumbo tayari yashafurika kama vifuko vya mchanga[emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
zege tamu acha tuenjoy woteUnatafuta kitambi Kwa nguvu zote [emoji16]
Zege tule sisi wenye maatumbo yasiyo na shukurani
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Amesema Junia๐คฃ๐๐๐Yamekuwa hayo
Ila picha zako naona huna kitambizege tamu acha tuenjoy wote
kipo kimejaa tele .. toka nipo form six sijui ... watu wakahisi mama k
sijaanza leo ๐ ๐ .
Wewe si unajificha