Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,005
- 7,375
Anne kumbe nakufahamu kiuhalisia?Yatokee wapi?
Ndio kwanza nazidi kukata kgsView attachment 2452704
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Anne kumbe nakufahamu kiuhalisia?Yatokee wapi?
Ndio kwanza nazidi kukata kgsView attachment 2452704
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Njoo uchachueMate yamejaaaajeee kwa mdomo hapaa naombapo nichachueee kidogooooo!!![]()

WeeehAnne kumbe nakufahamu kiuhalisia?
Kiuno nyigu hauna kanisa Mbeya??😁😁😁!
Lilobaki nipasieee hapaa namaliza loteee!Njoo uchachue
Mm mwenyewe nilivyoyaona mate yakajaa
Ikabidi nichukue.
Nimekula vipande viwili najihisi poa
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mnanizugaaa nyie hamfaiiiiiii😁😁😁!Mimi tena nipo mwingiiii... Mybe huyo bi mmoja...🤣🧐
Mbeya hatutaki shetani apumueKiuno nyigu hauna kanisa Mbeya??😁😁😁!
Dakika moja nyingiii kanisaaa ukitembea sekunde kanisaaaa!!
Huku shetani lazima akimbie mwenyewe 😍!
Nimeangalia picha zako mbili nimekufahamu.
Yaniiii huku ninouuuuumaaaa!!!😘😘Mbeya hatutaki shetani apumue
Yaani ni kumshindilia kila sehemu.
Mimi bado Sina Kanisa boss ledi😁
Muda wa shetani kutamba anautoa wapi?Yaniiii huku ninouuuuumaaaa!!!😘😘
UmenifananishaNimeangalia picha zako mbili nimekufahamu.
Nkamu ni gauni langu nilinunua afmbili
Njoo uchukueLilobaki nipasieee hapaa namaliza loteee!
Watu wakipungua nitatupia Nkamu.nione nkamu
Chizi wewe 😂Kumbe sikufanya kazi yangu vzr😅
Tupo wawili tu na nkamu ako tupia jamaneeeWatu wakipungua nitatupia Nkamu.
Lina mpasuo hilooo,hadi aibu naona mwenyewe.
Mimi natafuta unene na Sina juhudi yoyote ya kuutafuta.Wembamba unatafutwa kwa shida sn
WeeeeTupo wawili tu na nkamu ako tupia jamaneee
Watatu tu..😉Tupo wawili tu na nkamu ako tupia jamaneee