Selfika na JF: Snap it. Show it

Usije mchezea huyo binti yangu, watu innocent ukiwachezea badae yanakugeukia🀣🀣
πŸ˜…πŸ˜… kwaiyo kuna category za kupiga na kusepa na za kuweka kambi.. ila mie huyo mtoto nataka tu kumfariji hakuna mambo mengine.. utu uzima udawa
 
πŸ˜…πŸ˜… kwaiyo kuna category za kupiga na kusepa na za kuweka kambi.. ila mie huyo mtoto nataka tu kumfariji hakuna mambo mengine.. utu uzima udawa
Hilo liko wazi mkuu, ziko pisi za kuweka na kuamsha, zenyewe zinaelewa hivyo kwanza hazitaki kubanwa banwa..ziko pisi kama hiyo ni za kuweka ndani na kutulia nazo.
 
Ndoa za uzeeni

Unakufa chap kwa haraka

Tuna mifano miwili hai

Usijaribu

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Hilo liko wazi mkuu, ziko pisi za kuweka na kuamsha, zenyewe zinaelewa hivyo kwanza hazitaki kubanwa banwa..ziko pisi kama hiyo ni za kuweka ndani na kutulia nazo.
Mie hapo siendi kupiga naenda kutoa tu faraja.. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… si unajua sie ndio walezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…