Hebu muweke kipande tumuone....! Msalimie cusin bwana.Kweli jamani hajakosea,, ningekuwa na uwezo ningekutumia picha za huyo cousin yangu wa kike uliyefanana naye na wala hata siyo mtu mzima sana yupo kwenye early 20s and she is beautiful..
Najua wanaume hampendi kufananishwa na wanawake lakini to tell you the truth you have a girlish face (no offence) japo haibadilishi haiba yako ya kiume see it doesn't matter how you look like but you are still a man
The place is really beautiful na km upo
interested na kilimo papo vizuri pia .
[emoji7] Naupenda.
Kweli jamani hajakosea,, ningekuwa na uwezo ningekutumia picha za huyo cousin yangu wa kike uliyefanana naye na wala hata siyo mtu mzima sana yupo kwenye early 20s and she is beautiful..
Najua wanaume hampendi kufananishwa na wanawake lakini to tell you the truth you have a girlish face (no offence) japo haibadilishi haiba yako ya kiume see it doesn't matter how you look like but you are still a man
Mwanaume hasifiwi sura lakiniWe mtoto utakuwa unataka tu kututukanisha sasa kama wewe ni mbaya na sisi tusemeje??
Ok Nimekubali.. sio wakwanza kuniambia kua nafanana hvo.. Japo sipendi hii situación mama etu ana dam kali waswahili husema. Afu wakike kwetu wamefanana na dingi sie ma man wa kiume.Kweli jamani hajakosea,, ningekuwa na uwezo ningekutumia picha za huyo cousin yangu wa kike uliyefanana naye na wala hata siyo mtu mzima sana yupo kwenye early 20s and she is beautiful..
Najua wanaume hampendi kufananishwa na wanawake lakini to tell you the truth you have a girlish face (no offence) japo haibadilishi haiba yako ya kiume see it doesn't matter how you look like but you are still a man
Hayo masaa mawili uliyopotewa nikajua ndo umeshatekwa na ule uzi wa kula tunda kimasihara, la hasha kumbe ukienda kuongeza vitabu vya kurekodi mahudhurio humu.Aise siliwezi hilo zoezi mie ndiyo nimeshaolewa na huu uzi hivyo maana nalala nao naamka nao
Ndo ukaamua pita kimya kimya sio?
Aisee we binti[emoji23][emoji23]
Mimi wewesura nakutumia inbox
Wewe useme nini sasa. Wewe upost tuu kapicha
Hebu muweke kipande tumuone....! Msalimie cusin bwana.
Okay...thanks
Ngoja niiweke kwa bucketlist yangu hii
Aiseee...
Mwanaume hasifiwi sura lakini
Yeah you are so cute,, huyo cousin yangu sijui kama atakubali maana hata JF tu hayupo na sidhani kama hata anaijua kwahiyo nikimuambia kuna mtu wa JF anataka kuonana naye itabidi nimuelezee kwanza JF ni nini kabla sijamuelezea lengo la wewe kutaka kuonana naye..Ok Nimekubali.. sio wakwanza kuniambia kua nafanana hvo.. Japo sipendi hii situación mama etu ana dam kali waswahili husema. Afu wakike kwetu wamefanana na dingi sie ma man wa kiume.
Fanya kunikutanisha na huyo Cousin
Hayo masaa mawili uliyopotewa nikajua ndo umeshatekwa na ule uzi wa kula tunda kimasihara, la hasha kumbe ukienda kuongeza vitabu vya kurekodi mahudhurio humu.