Selfika na JF: Snap it. Show it

Ladies take note. Ukiona anachelewesha mambo, jichukulie sheria mkononi...Muda wa kusubiri uchumba miaka miwili+ mtu anakukula na kukupakua apendavyo wakati hujui status yako kwake haupo! [emoji870][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nikamfanyie mtu, atake asitake lazima avae tyuuh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka unatosha kwa kweli...ila kuanzia miezi 7 huko unaanza kupush ili uone kama kuna mabadiliko na potential ya mahusiano kwenda level nyingine...
Okay , asante sana
Huu mchezo wa mahusiano ni wa kijinga .
Wengine hata hawateseki chap tu wanafunga ndoa na childhood sweetheart .
 
Okay , asante sana
Huu mchezo wa mahusiano ni wa kijinga .
Wengine hata hawateseki chap tu wanafunga ndoa na childhood sweetheart .
Hayanaga mwongozo na hakuna fomyula mjukuu. Ndo maana akina Shilole wanaolewa kila leo na kuna wengine hakuna kitu....maisha yako hivyo. Kila mtu na safari yake ndiyo maana tunashauriwa sana kutoiga mambo ya wengine au kujilinganisha nao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…