Aaaah finalist sisi tushakua wazoefu, hatutasumbuka sana, labda ujauzito usumbue, hapo sawaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
π π π mie wifi yako huwa nikiwa kama nimepumzika anapitisha taratibuu kama anapiga mstari mgongoni mwili unasisimka hata kama nilikuwa na uchovu unaisha au akiwa ana ni massage miguu π π π π kumbe naotaaa tuuKweli Sijui mjomba nipe maelekezoooo Nimfurahishe babaenuuu mjombaaa!
Lol kumbe ndio siri nilikua sijuiiiii!π π π mie wifi yako huwa nikiwa kama nimepumzika anapitisha taratibuu kama anapiga mstari mgongoni mwili unasisimka hata kama nilikuwa na uchovu unaisha au akiwa ana ni massage miguu π π π π kumbe naotaaa tuu
Sanaaaa shangazi πππ raha sana kupendwaa na ku dekezwaaa π πLol kumbe ndio siri nilikua sijuiiiii!
Wabheja sana kunipa mbunu mjomba takua unafauduuu!!
@Antonnia, hujambo?Simpatii picha coca na hekaheka za mimba[emoji16][emoji16][emoji16]!
Yeahhh aandae mapemaa
Hayaaaa bhanaaaa.Weee kameingia Dec katazaliwa sept Then Dec katakua na 3 months banaaaa
Umeona eeeehhh!!!Sanaaaa shangazi πππ raha sana kupendwaa na ku dekezwaaa π π
Sijambo wa vipaji za Siku mbilitatu??@Antonnia, hujambo?
Mie ntamaliza fresh na katoto kangu, katoto ketu na kenyewe katakua ka Genius. Tena katafata Taaluma yetu wazazi wake.Labda kwenu hapo ... Wakati tupo tunamalizia rafiki Yangu alipata ujauzito semester ya pili tena , nusu aandike barua ya kuacha masomo ..
Research ya MU hapana , wanakusumbua kichwa hadi utajuta kusoma .
si unaona mjomba wako katulizwaaabπππUmeona eeeehhh!!!
Inapendeza mnoooooo!! ππ€Έπ€Έ
Waoooooooohhhh!!! Katakua jiniazz pro max π!Mie ntamaliza fresh na katoto kangu, katoto ketu na kenyewe katakua ka Genius. Tena katafata Taaluma yetu wazazi wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
njoo nikupime mimba kama ipo au laahMie ntamaliza fresh na katoto kangu, katoto ketu na kenyewe katakua ka Genius. Tena katafata Taaluma yetu wazazi wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tutasumbuana hivyo hivyo, muhusika si yupoo bhanaa atabeba msalaba yeye, c anataka kuitwa baba bhana.Simpatii picha coca na hekaheka za mimba[emoji16][emoji16][emoji16]!
Yeahhh aandae mapemaa
Ntamuambia mama anitumie dawaa za mitishambaaaa.cocastic aaanze kununua supplement mapema kama mafuta ya samaki .
Umeweka rangi sana mjomba tupia kitu Og banaa !!si unaona mjomba wako katulizwaaabπππView attachment 2450474
siwezi weka picha og hapa π π π nitauza ramani bure πππUmeweka rangi sana mjomba tupia kitu Og banaa !!
Much congrats mjomba ndoa tamu bana!!
Yaan imagine wazazi wake ni ma Geniuses, je yeye sasa?Waoooooooohhhh!!! Katakua jiniazz pro max [emoji126]!
Namie nitakutumia Shoss Angu Bk kwa mitishamba ndio penyewe sasa !!