Emery Paper
JF-Expert Member
- Jun 1, 2019
- 1,427
- 2,767
Nimebaki na Cavs yetu. Kuna hawa jamaa wanajiita Clippers msiwasahau aisee. Wana Klaw, P.George, Luo Williams, M. Harrell, hawa kila mechi wakiwa uwanjani una uhakika wa kupata production ya kutosha aisee.Nipo na harden...huston rockets wasipobeba tena msimu huu ndio basi tena
Sijui kwanini Ila mpk sasa Sina Imani kama Cavs watafanya maajabu msimu huuNimebaki na Cavs yetu. Kuna hawa jamaa wanajiita Clippers msiwasahau aisee. Wana Klaw, P.George, Luo Williams, M. Harrell, hawa kila mechi wakiwa uwanjani una uhakika wa kupata production ya kutosha aisee.
Scenery ni kali sana!!!
Scenery ni kali sana!!!
Nilijua nimeliona peke yangu hili[emoji1]
Wapi hapa
Morogoro
Pazuriiiii
Mkuu Behaviourist naona shemeji anatoa malalamiko View attachment 1265290
Hahaha sawa sawa mkuuNamuomba code jamaaa nianze kusaliii hapo
Daaaah...uzuri wa huku kuhama inaruhusiwaView attachment 1265283
Nipo na harden...huston rockets wasipobeba tena msimu huu ndio basi tena
Sijui kwanini Ila mpk sasa Sina Imani kama Cavs watafanya maajabu msimu huu
Wapi hapa
Yeah true...hasa msimu huuWapo average sana...