Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Graduates na katoto kao, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Nimependa wako happy, [emoji178][emoji178][emoji178]

Baby show iko fresh, baba wa mtoto yuko so mwaaaaah!!!

Jah ajalie wazeeke wote. [emoji120][emoji120][emoji120]
FB_IMG_16713117739854373.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupo hapa tunasubirii hayo maphoto ka hao wa udom[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] afu bado mnatafuta tuu
Haha sisi tunatafuta mwez huu, wa 8 mwakan kanakua kashazaliwa, December kanakua kakubwaaa kana uwezo had wa kutuvua kofia za joho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha sisi tunatafuta mwez huu, wa 8 mwakan kanakua kashazaliwa, December kanakua kakubwaaa kana uwezo had wa kutuvua kofia za joho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
👏👏👏👏👏👏👏👏 Nipo hapa takua miongoni mwa mashuhuda... Ushaanza kula vile vuchachu vichachu sio
 
Back
Top Bottom