Ninyi si mnanivizia nikitoka online ndiyo mnatuma,, siyo vizuri mnavyonifanyia mie nakuja nakuta tu watu wanasifiana picha zishafutwa..
Hebu kuweni kama kaka zetu bhana mbona wao hawafuti picha zao wote nimezikuta humu yaani hadi raha jamani wakaka wote mliotuma picha zenu humu na hadi sasa zipo Mungu awabariki sana muendelee na moyo huo huo nawapenda mno
sisi wadada mtusamehe bure tu