Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani wewe ndiyo wa kunifanyia mimi hivi?? Siyo mbaya nitakutafuta chemba unitumie,, halafu bora hata umerudi huku kumepoa sana aisee hebu acha utoto bhana kuja huku tuwe tunachat..(ninavyolazimisha sasa[emoji1787][emoji1787])
Wewe hata usipoona Ni sawa tu[emoji1787][emoji1787].
Nimetimiza maneno yangu ya kukaa wiki bila kugusa humu.
 
Ninyi si mnanivizia nikitoka online ndiyo mnatuma,, siyo vizuri mnavyonifanyia mie nakuja nakuta tu watu wanasifiana picha zishafutwa..

Hebu kuweni kama kaka zetu bhana mbona wao hawafuti picha zao wote nimezikuta humu yaani hadi raha jamani wakaka wote mliotuma picha zenu humu na hadi sasa zipo Mungu awabariki sana muendelee na moyo huo huo nawapenda mno[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]sisi wadada mtusamehe bure tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karma dear una kwama wapi [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…