Bora enzi zetu sisi miaka Ile ya 70-83's unachagua ofisi ya kufanya kazi, unaenda Shirika la hifadhi ya Chakula, Chuo Kikuu au Ujenzi kupiga kazi.huu mwaka uisheee nipumuee kwa kweli,
Finalist yeaaaah, tunamaliziaaaa maliziaaa tulichokijiaaa.
Mwendo wa kusaga lami na bahasha ya khaki. Uwiiiiih.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zote za humuHuyo mnyama nimeshindwa kumpenda kabisa licha ya upole wao, I see more comfortable with dograther than Paka.
Bora enzi zetu sisi miaka Ile ya 70-83's unachagua ofisi ya kufanya kazi, unaenda Shirika la hifadhi ya Chakula, Chuo Kikuu au Ujenzi kupiga kazi.
Ukitaka Unaenda Reli au Shirika la Viwango
Siku hizi Wasomi mmekuwa wengi
Njoo SimiyuTena nataka muitaliano, nasikia wanatiaaa balaaa, lazima nijionee staki kuskia skia hizo story.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mda wa kukimbizana na ng'ombe mtaacha wapi?
Nikukute hapo hapo boss ledi.cocastic On my way to Malawi!!
Atakuwa trafiki huyoKwahio huyo sio wewe babuu? Ebu fanya kuselfika kwani hutaki wajukuu zako tukujue vizuri eeh!?
Inafkri hata mama ako hakuwa na wazo la kukutafuta wakat huo, miaka hyo mchezoooo???
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Trafiki😁😁😁😁😁!!Atakuwa trafiki huyo
Akiselfika atakuoneeni aibu
Kukusanya buku buku za Bajaj zenu
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Ila unapigwaMda wa kukimbizana na ng'ombe mtaacha wapi?
Nyie mgegedo had sku ya kutafuta mtoto. Lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Lol nilipita nipo huku Boda naenda Malawi mara moja ntarudi SoonNikukute hapo hapo boss ledi.
Nipo mjini huku PB.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app