Selfika na JF: Snap it. Show it

Kila nikiwaza, huwa sielewi hii combination ya parachichi na ubwabwa. Naona ni kama vile haviendani.

Najiwekea malengo kabla huu mwaka haujaisha, niwe nimejaribu hii combination ya ubwabwa na parachichi.
Ujanja wako wote wa kumshabikia Magwaya,hujui combinenga ya chichi na wali?

Subiri nitakupa Mwalimu akufundishe,


Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…