[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had machozi, nimekumbuka kitu. Wallah nitakufa miguu nimenyoosha juu.Mbona wapo wengi wanaozimika na wafupi [emoji23][emoji23]
Tena wakiona wakaka wafupi hadi kupumua vizuri hawawezi, pumzi inabana ghafla
Pole jamani, atatokea tu mmoja atakukubalisi kweli,mie nishatoswa sn kwa ufupi,tena live
Vipi hivyoUfupi gharama,tunakosa vingi sana
Umekumbuka nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had machozi, nimekumbuka kitu. Wallah nitakufa miguu nimenyoosha juu.
mweusi halafu mfupi, dah lzm nipate tabu,ndo maana mke nililetewa toka matombo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila inasadikika kuwa asilimia kubwa ya wanaume weusi wana gubu
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
vingi tu ,tunakosa,hasa totozVipi hivyo
familia inaniletea toka kijijiniPole jamani, atatokea tu mmoja atakukubali
NasubiriOoooh hapo sawaaaah!!!
Hahaha goodfamilia inaniletea toka kijijini
hahahaha,akizoea mji ataambiwa,we ndo unatoka na huyo mbilikimo, naachwa tenaHahaha good
Achana na hawa mabinti wa mjini watakupa stress tu za maisha, kienyeji huyo ndio safiii
[emoji23][emoji23][emoji23]mweusi halafu mfupi, dah lzm nipate tabu,ndo maana mke nililetewa toka matombo
Na binadamu walivyo wabaya, wakiona umeanza kufurahi na kunenepa tu wanakuharibiahahahaha,akizoea mji ataambiwa,we ndo unatoka na huyo mbilikimo, naachwa tena
Upoooo?Nasubiri
Wapi hapa brohzz?[emoji3541]View attachment 2438570
Nliwahi data kwa mtu mfupi, na alivyokua ananiendesha sasa, siku hiyo alinikosea nkaanza kulia, mara ghafla wazo likaja "yaan mie nalia kisa huyu mfupi kwanza mie sio type zangu hizi" ghaflaaa mkaanza kuchekaaaaa km mwehuuuu.Umekumbuka nini
Enhee tupe storyyy
Nip0Upoooo?
Mwanzo hukuona ufupi wake 😂Nliwahi data kwa mtu mfupi, na alivyokua ananiendesha sasa, siku hiyo alinikosea nkaanza kulia, mara ghafla wazo likaja "yaan mie nalia kisa huyu mfupi kwanza mie sio type zangu hizi" ghaflaaa mkaanza kuchekaaaaa km mwehuuuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan uwiiiiih. Ila hakua mfupi sanaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanzo hukuona ufupi wake [emoji23]