Asante naona Ule wa pale juu wa upanga wa jogoo bado Unaongoza!Yah unaweza suka yebo kama hivo ukaweka na yebo hapo mbele dear nyuma ikawa hivView attachment 2436457
Huyo fundi sasa🙆🙆🙆🙆 kata nzima saluni moja 🤣🤣🤣🤣🤣!! Sijui wanazijua lol ngoja nikawaulize kwanza!!Hii staili huwa moja maybe uweke mawimbi Rasta ngoja zilalie pembeni lakn umpate fundi hasa
Unaweza suka za kawaida ila kunawengine wanasuka pembeni za kawaida mikia ya afro kinky Wanawka na maji ya moto wengine wanaaachaAsante naona Ule wa pale juu wa upanga wa jogoo bado Unaongoza!
Kwani wanasukia rasta za kawaida au zipo spesho??
Hapana nataka kubadili kwanza dear!!Usikubali
Wanakuingiza mkenge hao
Heri uendelee tu na mbinjuo tu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Watajua tu sio ngumu ungekuwepo huku ungekuja nikusuke Bure kabisaHuyo fundi sasa🙆🙆🙆🙆 kata nzima saluni moja 🤣🤣🤣🤣🤣!! Sijui wanazijua lol ngoja nikawaulize kwanza!!
Asante.. Niwekee mingine tofauti na hii kama miwili hivi mara ya mwisho !!Unaweza suka za kawaida ila kunawengine wanasuka pembeni za kawaida mikia ya afro kinky Wanawka na maji ya moto wengine wanaaacha View attachment 2436461unaweza bana hiv pia
Aririririririiiiiiiiii...nipe address mie nikuje fastaaa 🤣🤣🥰🥰🥰🥰🥰😘😘!Watajua tu sio ngumu ungekuwepo huku ungekuja nikusuke Bure kabisa
Nimeona lipssss kwanza lol🥰🥰🥰🥰!!Knotless mamy haimkatai mtu ila suka ndefu Ndio utapendeza na rangi yako ya mtume😉😉
View attachment 2436464
Mideko dada Mkwepu[emoji91]Knotless mamy haimkatai mtu ila suka ndefu Ndio utapendeza na rangi yako ya mtume[emoji6][emoji6]
View attachment 2436464
Asanteee mamy enhee knotles haimkatai mtu Mamy fundi tu azipange vizuriNimeona lipssss kwanza lol🥰🥰🥰🥰!!
Asante kipenzi mie nina kakichwa kadogo zitakaa vizuri Kweli??
Umenugaaaa sana mamaaaaa 😘 uzuri!
Asante Wanasukia rasta!???
Asante nishaona wa kusuka hapoo ngoja nikakomae na msusi kwanza Mwabheja sana!!View attachment 2436470selfie imewekwa jellyView attachment 2436468
Sasa wee n binti? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona Naona umekaa kimama mama sana au ushamba wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Lol asante niweke mingi nichaguee
Iyo ya kwanza alokutumia Anne inaitwa twinkle braid ni marefu yanakwata yanauzwa elf 2 to au 25 nafikirAsante Wanasukia rasta!???
PoaAsante nishaona wa kusuka hapoo ngoja nikakomae na msusi kwanza Mwabheja sana!!
Bas asuke huu hapa. [emoji8][emoji8][emoji8]Yah unaweza suka yebo kama hivo ukaweka na yebo hapo mbele dear nyuma ikawa hivView attachment 2436457
Ndiwooooooooo!!!! Mrembooooo.Knotless mamy haimkatai mtu ila suka ndefu Ndio utapendeza na rangi yako ya mtume[emoji6][emoji6]
View attachment 2436464