Una nikumbusha kuna Prof mmoja Chuo Kikuu alikuwa anatutania darasani kuwa hakuna haja ya kujenga nyumba kubwa kwaajili ya watoto. Anasema wewe Jenga vyumba viwili tu then chumba kimoja Cha Baba na Mama na kingine wajaze watoto wote humo yaani Ke na Me.
Anasema wakifika miaka 18 tu Kila Mmoja atahama nyumbani