Mi Kuna mtu namfahamu, ana kigimbi. Alikuwa anahofu kuvaa short. Lakini ndo nguo anazozipenda kweli kweli. Akaacha kbs kuvaa short. Lkn akapata mtu akampa somo zuri sn la kujipenda na kujiamini. Sasa hivi ni mvaaji mzuri wa short , Tena kwa kujiamini. Hatazami nani anamuangalia. Na anaenjoy mno.Na kweli, raha jipe mwenyewe
Kabisa!!kiutu uzima yani
no makelele .
Ana guu la bia huyoYani unajali kigimbi?. Anza kuvaa ndiyo utaona jins unapendeza. Kama unapenda kuvaa short, vaa tu. Usianze kumuwazia mtu dada.
Hahahaha naomba nianze kununua short ili ninoge vzrNakuelewa vizuri mamaa una guu moja matraaatraaaaa sanaaaa!! Ungelivalia short hilo awwwww[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]!! Nougaaa sana
Jitoe tu ufahamu
[emoji1][emoji1][emoji1] namuelewaaaAna guu la bia huyo
Hatari
Fanya hivo mamaa utapendeza sanaaaa...una guu la kuzivaliaHahahaha naomba nianze kununua short ili ninoge vzr
Kabisa. Halafu pia unakuwa hata uumii moyo sana. Kuliko apige yeye kimya. Then ww Kila siku ndo kiguu na njia kumtumia text na kumfuata kwake [emoji16]kiutu uzima yani
no makelele .
Nipo nipo ila kwa mbaliiiiiiii🧐🧐Poor Brain popote ulipo nakusalimiaaa!! ✋✋✋
HahahaaWewe ni mzuri bhana
Vile vikaptula vyako
Vinakutoa kweli
I wish usingekuwa blood cc*
Sipendagi kuvaa short kwsbb nipo kati kati. Sio mrefu ndo mn [emoji23][emoji23][emoji23]. Na mie ntk nionekane kakubwa [emoji38][emoji38] etiFanya hivo mamaa utapendeza sanaaaa...una guu la kuzivalia
Aibu ya kupretend ileKwa aibu zako zile
Labda[emoji1787]
Kujipenda na kujiamini, that's everything katika maisha 😍Mi Kuna mtu namfahamu, ana kigimbi. Alikuwa anahofu kuvaa short. Lakini ndo nguo anazozipenda kweli kweli. Akaacha kbs kuvaa short. Lkn akapata mtu akampa somo zuri sn la kujipenda na kujiamini. Sasa hivi ni mvaaji mzuri wa short , Tena kwa kujiamini. Hatazami nani anamuangalia. Na anaenjoy mno.
Tatizo muda Sina dadakeHahahaa
Kakake weekend ndio hii
Nitoe basi dadako mie nina kiu ya juice
We huyu[emoji848]Aibu ya kupretend ile
nikiamua kukasirika , nakata jicho
hiyo ya kutuma text daily inauma snaKabisa. Halafu pia unakuwa hata uumii moyo sana. Kuliko apige yeye kimya. Then ww Kila siku ndo kiguu na njia kumtumia text na kumfuata kwake [emoji16]
Mnapitia magumu kumbe[emoji1787][emoji848]hiyo ya kutuma text daily inauma sna
hujibiwi ni mikausho tu kwenda mbele
Itakuwa mkoani mbeyaKombe la dunia Lina hekaheka hili[emoji23][emoji119]
Imagine, marudio ya mechi ya jana ya Ujerumani,wamama wanashangilia magoli hapa,na hawajui kuwa ni marudio
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app