Kitambi Sunnah (personality muhimu)wee mzee wa mnyanduano. Punguza kitambii khaaaaah.
Na wewe tulia
Tumeshamtuliza Captain ameacha hizi habari,na wewe usiziendeleze sasa.kwa kipi hasa? Nakula kwa mtu? Nalala kwa mtu? Navaa kwa mtu? Afu sitoki na mume wa mtu sasa.
mniwacheeeee, mmeambiwa msiongee na mie. Lol
Nitakujibu; Amina bwana Yesu asifiwe mtakatifu AnneHuyu nikikutana naye njiani Nampa Bwana Yesu asifiwe tena Kwa kupiga magoti.
Tumeshamtuliza Captain ameacha hizi habari,na wewe usiziendeleze sasa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sawasawa jeshi la mtu mmoja Cocastic The greatmie hata sijariiiiiiiii. Walikua wenzake sio yeye, siku yakimnyweaaa ataacha.
Anatesekaaa na cocaaaaaa?? Na yupo m1 tyuuuuuuh. Kiboko ya haters.
Siku moja tu
Nikirelate na visa vyako huku we jamaaNitakujibu; Amina bwana Yesu asifiwe mtakatifu Anne
Kwanini umelivalia njuga sana Hilo suala sio juzi sio jana sio leo??? Hapo tu mi ndio Nataka kufahamu!!Mi sijakuambia kama umenikosea, ila nimekuuliza tu kwa nini unakuwa emotional? ungepaswa unijibu either ni rafiki yako unamtetea au vinginevyo.... mi hujanikosea kwa lipi sasa?
Na wee uache shobooo kwa watu wasio kuhusu, hujustukii, afu unaye mfanyia shoboooo wala hata hana time naweeee.Mi sijakuambia kama umenikosea, ila nimekuuliza tu kwa nini unakuwa emotional? ungepaswa unijibu either ni rafiki yako unamtetea au vinginevyo.... mi hujanikosea kwa lipi sasa?
Utambe!Siku moja tu
Ushanimisi tayari
Nijaze nijaze! Waletreeeeeeee wazeeeee waletreeeeee mi Ndio nawapendaaaUmemuona kwanza lakini umemuona vizuri???
Chondechonde matusi yako ya nyokoh baki nayo yudism hukoNa wee uache shobooo kwa watu wasio kuhusu, hujustukii, afu unaye mfanyia shoboooo wala hata hana time naweeee.
Jifunzee kuwa buzy na life lako. Afu nimekuheshimuu tyuuuh kwa leo. Waulize wenzio wakupe habari.
Mxxxxxxieeeeeew
Na kitambi chake? Afu ni mfupi sasa, sasa wee huo u tall itakuaje?
akikupakata kichwa kinagusa boobs, unamtanga makonzi ya kichwaa tyuuh.
Hao wanakuibiaUtambe!
Nianze tu
Kuna watu nikiwamiss,nikija nakuta wamenitag.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sawasawa jeshi la mtu mmoja Cocastic The great
Shosteee
Sasa tutakukabidhi Kwa Bwana wa Majeshi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nimeona nimeonaaaaa😎😎😎😎!!Nijaze nijaze
coca chiziiii🤣🤣🤣