Kuna siku mtu aliniungia kifurushi cha 30k japo hela ilikua yake, nkamchambaa akomeee, hela anipe niunge mwenyewee.
Ningeunga 10k, 20 ningetoa ningeweka bill ya mihogo na kachumbali kwa mama swaumu,
Naijua pesa kuliko hata inavyojijua enyewe. Uwiiiiiiih