Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Unateseka na unaniwazaa mda woteeee, kwann hujiuliziii ushawahi ona mie nakushobokea wee? Kuku quote? Kureply comments zako?
Ila wee sasa usione nime comment ushafika ku reply, mara unitajee, uni quote, sometimes unakuta huusiki tayar ushajichomeka nawee umo, vipi una kwamaa wapiiiii?
Ngoja nikupe kavu sasa, walikua wenzio hapa, sio wee tena makundi kwa makundi na sio hapa selfika tyuuh ni majukwaa karibu yote, ila walishindwa wao,
Jf nzima inajua mie ni shoga, wapo wanao amini, wapo wasio amini, hilo suala langu kuwaaminisha. Kila mtu aamini anachoona kwake ni sawaaa.
Kwa kifupi acha shoboooo kwanguuuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi wangu huwa unaishaUsingizi haujawahi kuisha, unapungua tu. Selfie yako ya toka usingizini inatuhusu hapa
Ni simu nzuri pia..Namwamimi Mungu ipo siku nitafanikiwa na Mimi.
Ngoja nikachukue tu Infinix yangu saafi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sana tuNi simu nzuri pia..
Mtoto mzuri, mrembo, Saint Anne hebu tubarikiMimi wangu huwa unaisha
Kama haujaisha nalala tena hadi uishie woote.
Selfie yangu ili mkimbie😁
Labda watakimbia wao Mimi nabaki na weweMimi wangu huwa unaisha
Kama haujaisha nalala tena hadi uishie woote.
Selfie yangu ili mkimbie[emoji16]
Ok! well...Sana tu
Kwa uwezo wangu ni simu kalii.
Mimi nimebaki na YesuLabda watakimbia wao Mimi nabaki na wewe
Hujanimiss tu?Labda watakimbia wao Mimi nabaki na wewe
Kweli eeeh?Ok! well...
Hata mie natumia infinix..
Haina shida we Baki na Yesu Mimi nabaki na weweMimi nimebaki na Yesu
Hadi nahisi naumwa vile nakumiss we m'CUTEHujanimiss tu?
Bwana awabarikie na kuwalindaMtoto mzuri, mrembo, Saint Anne hebu tubariki
🔥
Yesu amenibebaHaina shida we Baki na Yesu Mimi nabaki na wewe
Niseme nini Mimi mbalizi1 kwako wewe Antonnia?! .....eti!!
Ok! well...Kweli eeeh?
Tubadilishane basi, nipe hiyo google pixel nikupe tekno wereva