Yeah zina dakika nyingi kweli , Mimi nampenda Boaz danken . nyimbo zake zanibariki kweli .Hii nyimbo ina dk 10:34 mwee inahitaji utulivu wa hali ya juu kuusikiliza wote na kuconcentrate.
Ina maneno mazuri yenye faraja π
miss you tooSalama tu dear
Nimekumiss
π€£π€£π€£π€£Aliyekupa stress ndo akufariji
Kagugoπ€£π€£π€£π€£
Nimekosa jibu la kukupa
Namuoa mimi chief
Ukiwa busy kuzisikiliza unasahau shida za dunia kwa mudaYeah zina dakika nyingi kweli , Mimi nampenda Boaz danken . nyimbo zake zanibariki kweli .
zinakupa relief fulani hivi ukipitia changamoto
Asipokupigia nambie09:10 nipigie Lenie
SawaAsipokupigia nambie
Huku salama madammiss you too
habari ya huko
Ndio unitumie vocha sasa, unaona nina kibarua cha kumpigia mtu hapoAsipokupigia nambie
Bado dakika 8 ole wako usimpigie kibwengo utakoma leoNdio unitumie vocha sasa, unaona nina kibarua cha kumpigia mtu hapo
Si unitumie hyo vocha, ya buk 5 itatosha huyo mdudu anaongeaga sanaBado dakika 8 ole wako usimpigie kibwengo utakoma leo
Wahi kibanda cha simu
Zimebaki dakika 5Si unitumie hyo vocha, ya buk 5 itatosha huyo mdudu anaongeaga sana
Nazima simu, mje mnipige nipo hapaaaZimebaki dakika 5
Shauri yako
Nimetamani nini tena chief?Chalii
Acha tamaa
hakikaUkiwa busy kuzisikiliza unasahau shida za dunia kwa muda